UCHAGUZI AFRIKA YA KATI: TOUADERA AONGOZA MATOKEO YA AWALI

UCHAGUZI AFRIKA YA KATI: TOUADERA AONGOZA MATOKEO YA AWALI

Like
283
0
Monday, 04 January 2016
Local News

MATOKEO ya awali ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati yanaonyesha Waziri Mkuu wa zamani Faustin Archange Touadera anaongoza.

 

Wagombea 30 walishiriki kwenye uchaguzi huo ambao huenda ukaingia awamu ya pili kati ya wagombea wawili watakaoongoza tarehe 31 ya mwezi huu.

 

Upigaji kura ulifanyika tarehe 30 Desemba mwaka 2015, huku walinda amani wa Umoja wa Mataifa wakilinda vituo vya kupigia kura.

 

Comments are closed.