UCHAGUZI MKUU 2015: WADAU WAIPONGEZA NEC

UCHAGUZI MKUU 2015: WADAU WAIPONGEZA NEC

Like
270
0
Thursday, 21 April 2016
Local News

WADAU mbalimbali kutoka vyama vya Siasa vilivyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25 mwaka jana wameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuendesha zoezi hilo kwa Uwazi, Haki, Amani na kwa kuzingatia Sheria na Kanuni.

Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Chama cha NRA Hassan Kasabya alipokuwa akitoa pongezi kwa Tume hiyo kwa kutoa vyeti vya shukrani kwa washiriki hao kutoka vyama vya siasa na wadau wengine.

Comments are closed.