UCHAKAVU WA MAHEMA WAWALAZA NJE WAATHIRIKA WA MAFURIKO KILOSA

UCHAKAVU WA MAHEMA WAWALAZA NJE WAATHIRIKA WA MAFURIKO KILOSA

Like
272
0
Friday, 24 July 2015
Local News

ZAIDI ya kaya 260 waathirika wa mafuriko wanaoishi kwenye mahema katika eneo la mateteni wilayani kilosa mkoani morogoro wanaishi maisha magumu kwa kutegema viazi vitamu na wengine wanalazimika kulala nje na familia zao kutokana na uchakavu wa mahema. wakizungumza kwa uchungu waathirika hao wamelalamikia kuendelea kuishi maisha magumu kutokana na uchakavu wa mahema ambapo baadhi yao wanalala nje na watoto na kuishi kwa kutegemea viazi vitamu kusukuma maisha. Hata hivyo, wameiomba Serikali kuwaonea huruma kwa watu hao kutokana na maisha magumu wanayoishi.

Comments are closed.