UEFA: BARCELONA NA BAYERN MUNICH WATINGA NUSU FAINALI

UEFA: BARCELONA NA BAYERN MUNICH WATINGA NUSU FAINALI

Like
335
0
Wednesday, 22 April 2015
Slider

Klabu ya Barcelona jana ilishuka dimbani mjini Paris wakiwa wageni wa Paris st Germen ya Ufaransa.

Katika mchezo wa awali Barcelona iliibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Paris st Germen pia hapo jana wababe hao waliendeleza vipigo dhidi ya Wafaransa hao baada ya kuwakandamiza bao 2-0,zilizowekwa kimiani na Mbrazil Neymar katika kipindi cha kwanza.Kwa matokeo hayo Barcelona imefuzu nusu fainali kwa ushindi wa jumla ya magoli 5-1

BERCELONA

katika mchezo mwingine uliochezwa hapo jana,Baada ya kuchezea kichapo cha cha bao 3-1 katika mechi ya awali dhidi ya Porto Fc ugenini,hatimaye Bayern Munic waliigeuzia kibao Porto na kuirarua bila huruma bao 6-1 na hivyo kuwa na njia nyeupe ya kutinga nusu Fainali kwa ushindi huo wa jumla ya magoli 7-4.

PO

PORTO2

Comments are closed.