UEFA CHAMPIONS LEAGUE: JUVENTUS VS MONACO, ATLETICO MADRID VS REAL MADRID

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: JUVENTUS VS MONACO, ATLETICO MADRID VS REAL MADRID

Like
333
0
Wednesday, 22 April 2015
Slider

Uefa champions league kivumbi kuendelea leo katika mechi nyingine za robo fainali pale Juventus ya Utaliano itakaposhuka dimbani kupambana na klabu ya Monaco ya Ufaransa.

Wakati mabingwa watetezi wa real Madrid watakuwa wenyeji wa mahasimu wao Atletico Madrid kwenye dimba la Santiago.

Comments are closed.