UFARANSA: POLISI WAENDELEZA MSAKO WA MAGAIDI

UFARANSA: POLISI WAENDELEZA MSAKO WA MAGAIDI

Like
225
0
Tuesday, 17 November 2015
Global News

POLISI nchini Ufaransa wameendelea na msako dhidi ya kundi la wajihadi wanaoshukiwa kusababisha mauaji yaliyotokea mjini Paris Ijumaa ya wiki iliyopita.

Tayari Polisi hao wameshavamia makao zaidi ya100 huku wakiwaweka washukiwa katika kifungo cha nyumbani wakiongozwa na mshukiwa mkuu Salah Abdeslam, mwenye umri wa miaka 26.

Wakati hayo yakijiri, ndege za kivita za Ufaransa zimetekeleza mashambulio mapya na makali zaidi dhidi ya ngome ya Islamic State nchini Syria.

Comments are closed.