UFARANSA YAELEZA MSIMAMO WAKE SYRIA

UFARANSA YAELEZA MSIMAMO WAKE SYRIA

Like
208
0
Tuesday, 01 December 2015
Global News

WAZIRI wa mambo ya nje wa Ufaransa Laurent Fabius amesema kufanya kazi na jeshi la Syria sio jambo wanalolizingatia hadi Rais wa Syria Bashar Al Assad atakapoondolewa madarakani.

Fabius amesema ni dhahiri kuwa Rais Assad hawezi kufanya kazi na waasi wenye misimamo ya wastani nchini Syria na kwamba iwapo hataliongoza jeshi la Syria, huenda kukawa na ushirikiano baina yao wa kupambana dhidi ya ugaidi.

Ufaransa inataka Assad aondolewe madarakani ikimtaja kuwa ni kiongozi  anaye wauwa watu wake mwenyewe.

Comments are closed.