UFARANSA YATANGAZA SIKU YA MAOMBOLEZO YA KITAIFA KUFUATIA SHAMBULIO LILILOUA WATU 12

UFARANSA YATANGAZA SIKU YA MAOMBOLEZO YA KITAIFA KUFUATIA SHAMBULIO LILILOUA WATU 12

Like
173
0
Thursday, 08 January 2015
Global News

UFARANSA imetangaza leo kuwa ni siku ya maombolezo ya Kitaifa baada ya watu 12 waliouawa katika shambulio la ofisi za jarida la vikaragosi la CHARLIE HEBDO mjini Paris hapo jana.

Akizungumza kupitia kituo cha Luninga, Rais FRANCOIS HOLLANDE amesema kuwa Umoja ndiyo silaha kubwa katika kukabiliana na mauaji hayo.

FR

Comments are closed.