UFARANSA YATANGAZA VITA DHIDI IS

UFARANSA YATANGAZA VITA DHIDI IS

Like
201
0
Tuesday, 17 November 2015
Global News

RAIS Francoise Hollande wa Ufaransa ametangaza kwamba nchi yake ipo kwenye vita dhidi ya kundi la kigaidi la Dola la Kiislamu( IS).

 

Akihutubia mabaraza mawili ya bunge jana, Rais Hollande ameapa kuwa nchi yake ipo tayari kuliangamiza kundi hilo linaloendelea kuleta madhara makubwa katika nchi mbalimbali.

 

Kiongozi huyo amesema ili kuhakikisha hilo linafanikiwa atahakikisha vikosi vya ulinzi vinaimarishwa na kutaundwa muungano wa kimataifa kwaajili ya kudhibiti mipaka.

 

Comments are closed.