UFISADI: MAJAJI 7 WASIMAMISHWA KAZI GHANA

UFISADI: MAJAJI 7 WASIMAMISHWA KAZI GHANA

Like
306
0
Tuesday, 06 October 2015
Global News

JUMLA ya Majaji saba kati ya 12 wa mahakama ya juu nchini Ghana wamesimamishwa kazi kwa muda kufuatia madai ya kuhusika katika ufisadi.

Mwezi uliopita majaji wengine 22 wa ngazi za chini walisimamishwa kazi baada ya filamu moja kuwaonesha wakipokea rushwa kutoka kwa wateja ili wapate kupendelewa katika kesi zilizowakabili.

Hata hivyo Majaji wengine kadhaa wamekana kuhusika na madai hayo hali iliyowapeleka mahakamani kupinga kitendo cha wao kusimamishwa kazi.

Comments are closed.