UGANDA: MBABAZI KUWANIA URAIS NJE YA CHAMA TAWALA CHA NRM

UGANDA: MBABAZI KUWANIA URAIS NJE YA CHAMA TAWALA CHA NRM

Like
242
0
Friday, 31 July 2015
Global News

WAZIRI  mkuu wa zamani wa Uganda John Patrick Amama Mbabazi ametangaza kuwa hatawania urais kwa chama tawala NRM katika uchaguzi mkuu mwakani.

Mbabazi ametangaza hilo leo mchana akiwa nyumbani kwake Kololo katika siku ya mwisho ya kurejesha fomu za uwaniaji wadhfa katika chama hicho tawala.

Tangazo hilo la Mbabazi limetokea baada ya rais Yoweri Museveni kutangaza kuwa atarejesha fomu zake za kuwania uwenyekiti wa chama tawala NRM leo.

 

Comments are closed.