UGANDA: WATU KADHAA WASHIKILIWA KUFUATIA MAUAJI YA MWENDESHA MASHTAKA JOAN KAGEZI

UGANDA: WATU KADHAA WASHIKILIWA KUFUATIA MAUAJI YA MWENDESHA MASHTAKA JOAN KAGEZI

Like
292
0
Wednesday, 08 April 2015
Global News

UGANDA inasema imekamata watu kadhaa kuhusiana na mauaji ya mwendesha mashtaka Joan Kagezi yaliyotokea wiki iliyopita.

Mwendesha mashtaka huyo aliuawa na watu waliokuwa na bunduki wakitumia pikipiki na polisi kuanza uchunguzi kuhusiana na mauaji hayo.

Kutokana na matukio ya kigaidi katika nchi jirani ya Kenya, polisi Nchini Uganda wamekuwa wakichukua tahadhari dhidi ya matukio yoyote hatarishi.

Comments are closed.