UGANDA YAZINDUA BASI LINALOTUMIA UMEME WA JUA

UGANDA YAZINDUA BASI LINALOTUMIA UMEME WA JUA

Like
256
0
Tuesday, 02 February 2016
Global News

UGANDA imefanikiwa kuzindua rasmi basi linalotumia nguvu ya umeme wa jua ambalo limedaiwa kuwa watengezaji wake wanatoka nchini humo na ni la kwanza kama hilo kutengenezwa barani Afrika.

Basi hilo la kielektroniki aina ya Kayoola linalomilikiwa na kampuni ya Kiira Motors limeonyeshwa kwa waganda katika uwanja wa Uganda mjini Kampala.

Mojawapo ya betri zake zinaweza kuwekwa chaji na vibamba vya umeme wa jua katika paa la nyumba ambazo huongeza kasi ya gari hilo hadi kilomita 80 kwa saa.

                                                       

Comments are closed.