UGIRIKI: BUNGE LAUNGA MKONO MSAADA WA KANDA YA EURO

UGIRIKI: BUNGE LAUNGA MKONO MSAADA WA KANDA YA EURO

Like
188
0
Thursday, 16 July 2015
Global News

BUNGE la Ugiriki limeunga mkono awamu ya kwanza ya mpango wa tatu wa misaada kutoka kanda ya Euro.

Wabunge 229 wameunga mkono hatua hizo zinazozungumzia miongoni mwa mengineyo kuhusu kuzidishwa kiwango cha kodi ya ongezeko la thamani ya bidhaa na kufanyiwa marekebisho malipo ya uzeeni.

Wabunge 64 wameupinga mpango huo na sita hawakuupigia kura upande wowote.

 

Comments are closed.