UGIRIKI NA UJERUMANI ZASISITIZA NIA YA KUONDOA MVUTANO KATI YA SERIKALI ZAO

UGIRIKI NA UJERUMANI ZASISITIZA NIA YA KUONDOA MVUTANO KATI YA SERIKALI ZAO

Like
237
0
Tuesday, 24 March 2015
Global News

KANSELA wa Ujerumani, ANGELA MERKEL na Waziri Mkuu wa Ugiriki, ALEXIS TSIPRAS wamesisitiza nia yao ya kuondoa mvutano uliopo kati ya serikali zao.

Hayo wameyaeleza katika mkutano wao na Waandishi wa Habari uliofanyika mjini Berlin.

TSIPRAS amezuru rasmi Ujerumani kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani mwezi Januari mwaka huu.

Comments are closed.