UGIRIKI YAKUBALI MASHARTI YA WADENI

UGIRIKI YAKUBALI MASHARTI YA WADENI

Like
197
0
Thursday, 23 July 2015
Global News

WABUNGE wa Ugiriki wamepiga kura ya kuunga mkono mashariti mapya yaliyowekwa na wadeni wa taifa hilo lililo katika hatari ya kufilisika.

Hatua hiyo inatoa nafasi ya kuanzishwa kwa mashauriano mapya kati ya taifa hilo pamoja na mataifa mbalimbali yanayotoa msaada wa kuokoa uchumi wa nchi hiyo kutoshuka.

Hata hivyo Waziri Mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras alishinda kura hiyo ya Bunge baada ya kura ya kuunga mkono kupigwa na vyama vingine vya upinzani juu ya suala hilo.

Comments are closed.