UHABA WA DAMU NI TISHIO

UHABA WA DAMU NI TISHIO

Like
236
0
Monday, 16 March 2015
Global News

TATIZO la Uhaba wa damu nchini limeendelea kuwa tishio kwa wagonjwa wanaohitaji damu kwenye vituo vya huduma nchini na kubababisha maisha yao kuwa hatarini.

Takwimu zinaonyesha mahitaji ya Damu kwa mwaka ni Chupa 450,000 lakini makusanyo kwa mwaka ni Chupa 150,000,hali inayosababisha baadhi ya wagonjwa wanaohitaji damu kukosa huduma hiyo.

Kutokana nma Hali hiyo,Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Kupitia Mpango wa Damu Salama,Inaendesha Kampeni ya Uchangiaji damu Katika mikoa Sita nchini.

Comments are closed.