UHURU KENYATTA ACHAGULIWA KAMA RAIS BORA BARANI AFRIKA MWAKA HUU

UHURU KENYATTA ACHAGULIWA KAMA RAIS BORA BARANI AFRIKA MWAKA HUU

Like
180
0
Thursday, 02 July 2015
Global News

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika- AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu.

Muungano huo unasema kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka kote barani walishiriki katika kura hiyo.

Kenyatta alichaguliwa kwa uwezo wake wa kujenga makubaliano kitaifa na kimataifa, juhudi zake za kubadilisha sera na kutoa ufumbuzi katika maswala yanayowaathiri wakenya. Rais wa Rwanda Paul Kagame alishinda tuzo kama hiyo mwaka uliopita.

Comments are closed.