UINGEREZA NA URUSI ZAONYWA EURO CUP

UINGEREZA NA URUSI ZAONYWA EURO CUP

Like
329
0
Monday, 13 June 2016
Slider

Shirikisho la kandanda barani ulaya , UEFA, limeonya kuzichukulia hatua na hata kuzifukuza timu za Uingereza na Urussi.

Hatua hiyo ni kufuatia mashabiki wa timu kuwa chanzo cha ghasia zinatokea kama ilivyotokea wakati wa mechi yao ya huko Marseille.

suala la ulevi linatajwa kuwa ni moja ya vyanzo vya vurugu hizo ambapo baadhi ya mashabiki wana kwenda katika viwanja vya michezo hiyo huku wakiwa wamelewa.

Comments are closed.