UINGEREZA YATAKA KUBADILISHIWA MASHARTI YA KUWA MWANACHAMA WA UMOJA WA ULAYA

UINGEREZA YATAKA KUBADILISHIWA MASHARTI YA KUWA MWANACHAMA WA UMOJA WA ULAYA

Like
205
0
Wednesday, 27 May 2015
Global News

WAZIRI MKUU wa Uingereza David Cameron amependekeza mbele ya mwenyekiti wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya Jean Claude Juncker, masharti ya nchi yake kuwa mwanachama wa Umoja huo, yabadilishwe.

Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika makazi ya waziri mkuu huko Chequers, David Cameron ameweka wazi kabisa Waingereza hawakubaliani na hali namna ilivyo hivi sasa.

Kwa mujibu wa msemaji wa waziri mkuu wa Uingereza, mkuu wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya ameahidi kusaidia kupatikana ufumbuzi wa haki kwa Uingereza.

 

Comments are closed.