UINGEREZA YATARAJIWA KUANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

UINGEREZA YATARAJIWA KUANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

Like
325
0
Tuesday, 31 March 2015
Global News

Waziri Mkuu wa Uingereza DAVID CAMERON akutana na Malkia ELIZABETH kumuarifu kuwa Bunge limevunjwa, hatua inayofungua mlango wa kuanza Kampeni kwa uchaguzi Mkuu May 7 mwaka huu.tarehe 7 Mei.

Bwana CAMERON anaiongoza Serikali ya Mseto  kati ya Chama chake cha Conservative na  kile cha Liberal Democrats tangu mwaka 2010.

Utafiti wa maoni ya Wapiga kura unaonyesha matokeo yanayotafautiana.

 

 

Comments are closed.