UJENZI HOLELA CHANZO CHA MAFURIKO LAMADI

UJENZI HOLELA CHANZO CHA MAFURIKO LAMADI

Like
621
0
Tuesday, 07 April 2015
Local News

UJENZI holela uliopo katika Kijiji cha Lamadi, umechangia kijiji hicho na baadhi ya Vitongoji vyake kukumbwa na mafuriko yaliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita.

Akizungumza na Wananchi wa maeneo yaliyokumbwa na maafa hayo kwa nyakati tofauti, Mbunge wa jimbo la Busega mkoani humo, Dokta TITUS KAMANI amesemapamoja na kwamba kuna visababishi vya mafuriko yakiwemo mabadiliko ya Tabia ya nchi, ujenzi huo ni kikwazo cha maji.

Dokta  KAMANI amesema hayo wakati akitembelea Wahanga wa Maafa hayo na kuwapa pole wahanga,huku akimabatana na Kamati ya Maafa ya Kata ya Lamadi.

FF LAMADDD LAMAD2 LAMAD LAMAA LAMA LAMA2

Comments are closed.