UK YAPANGA KUTOA MAFUNZO YA KIJESHI KWA WAASI SYRIA

UK YAPANGA KUTOA MAFUNZO YA KIJESHI KWA WAASI SYRIA

Like
274
0
Thursday, 26 March 2015
Global News

KATIBU wa ulinzi nchini Uingereza Michael Fallon, amesema Nchi hiyo  itatoa mafunzo ya kijeshi kwa waasi wa Syria wanaokabiliana na serikali ya rais Bashar Al Asaad.

Karibia wakufunzi 75 pamoja na wafanyakazi wengine wa makao makuu watasaidia katika matumizi ya silaha ndogo ndogo,mbinu za kijeshi pamoja na zile za matibabu.

Mafunzo hayo yatafanyika nchini Uturuki ikiwa ni miongoni mwa mipango ya serikali ya Marekani.

 

 

Comments are closed.