UKAWA KUWEKA HADHARANI MGAWANYO WA MAJIMBO LEO

UKAWA KUWEKA HADHARANI MGAWANYO WA MAJIMBO LEO

Like
360
0
Monday, 17 August 2015
Local News

UMOJA wa Katiba ya wananchi-UKAWA leo unatarajiwa kuweka hadharani mgawanyo wa majimbo ya kugombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Tayari Umoja huo umeshamsimamisha Mgombea wa Kiti cha Lowasa kuwa ni Edward Lowasa na kabla ya kumsimamisha tayari Viongozi wakuu wa Ukawa walishathibitisha kwamba walifikia makubaliano kwa zaidi ya asilimia 95 kuhusu mgawanyo wa viti vya Ubunge na kwamba mazungumzo zaidi yalikuwa yanaendelea kuhusu majimbo 12.

Comments are closed.