UKIPEWA NAFASI YA KUTOA HUKUMU NI ADHABU GANI UNGEWAPATIA

UKIPEWA NAFASI YA KUTOA HUKUMU NI ADHABU GANI UNGEWAPATIA

Like
448
0
Thursday, 09 October 2014
Local News

Picha ni askari wa kikosi cha barabarani walioonyesha utovu wa nidhamu kufuatia kitendo chao cha kupiga picha za kimapenzi wakiwa na sare za kazi

Kamanda wa Jeshi la Polisi Henry Mwaibambe amewataja askari hao kuwa ni PC Asuma Mpaji Mwasumbi mwenye namba F.7788,PC Fadhili Linga mwenye namba G 2122 na PC Veronica Nazaremo Mdeme na wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani Missenyi.

idara ya polisi ni moja ya vitengo vya serikali vinavyolalamikiwa kwa utovu wa maadili kwenye nyanja tofauti.

Na adhabu wanazopewa zinaonekana kutokuwa sawa na makosa yao hali inayowafanya Wananchi kutoa lawama nyingi kwa serikali mfano hawa wanasemekana kuhamishwa vituo vya kazi baada ya kusababisha kifo kwa mgonjwa baada ya kusimamisha gari kwa madai ya kulikagua

barua real

 

Comments are closed.