UKIWA NAIROBI MSIMU HUU WA MVUA EPUKA NJIA HIZI

UKIWA NAIROBI MSIMU HUU WA MVUA EPUKA NJIA HIZI

Like
435
0
Monday, 02 May 2016
Global News

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Standard Digital nchini Kenya zinasema kuwa mashirika mawili ya serikali nchini humo yamewatangazia watumiaji wa njia za Lang’ata, Muhoho, Popo, Lusaka, Gichuru, Ushirika, Jakaya Kikwete, Lenana, Jogoo kuwa makini na barabara hizo kutokana na mafuriko, hivyo watumiaji wametakiwa kuepuka njia hizo katika kipindi cha mvua kubwa zinazopelekea kuharibika kwa miundombinu ya barabara.

Comments are closed.