UKRAINE: WAASI WAONYESHA DHAMIRA YA KUSITISHA MAPIGANO

UKRAINE: WAASI WAONYESHA DHAMIRA YA KUSITISHA MAPIGANO

Like
227
0
Tuesday, 10 March 2015
Global News

RAIS PETRO POROSHENKO wa Ukraine amesema kwamba waasi wanaotaka kujitenga Mashariki mwa nchi yake wameondoa kiwango kikubwa cha silaha nzito kutoka mstari wa mbele wa mapambano, hali inayoashiria kuheshimiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Akizungumza na Televisheni ya Taifa ya Ukraine Bwana POROSHENKO Amesema kuwa kila upande, kati ya Wanajeshi wa Serikali na Waasi, umeondoa silaha kwenye uwanja wa mapambano.

Comments are closed.