UKURASA MPYA WA JOTO LA ASUBUHI

UKURASA MPYA WA JOTO LA ASUBUHI

1
1782
0
Monday, 02 May 2016
Slider

Watangazaji mahiri Gerald Hando na Paul James (PJ) wameanza rasmi kutangaza 93.7 Efm redio siku ya  leo ya  tarehe 02/05/2016  katika kipindi cha Joto la asubuhi  kilichoboreshwa wakiwa pamoja  na Adela Tilya live nje ya jengo la  K- net house zilipo ofisi za E fm.

Kipindi hiki kinarushwa kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa  saa 12:00 hadi saa 3:00 Asubuhi. Usipitwe.

unnamed

Kutoka kushoto ni Gerald Hando, Adella Tillya, pamoja na Paul James wakitangaza live chini ya jendo la K-net house.

2

Rdj Spar akisababisha muziki live katika kipindi cha toto la asubuhi

3

Timu nzima ya joto la asubuhi pamoja na Rdj spar,

5

Baadhi ya wananchi wakishuhudia live  kipindi cha joto la asubuhi nje ya jengo la K-net house

4

Timu nzima ya Joto la Asubuhi katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki wa Efm Redio walioshiriki katika kipindi hicho

6

 

Gerald Hando akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake mzazi  pamoja na dada yake walipofika katika ofisi za efm redio kumpongeza.

 

 

Comments are closed.