UMABWILA: VYAMA VYA BODABODA HAVIFUNGAMANI NA SIASA

UMABWILA: VYAMA VYA BODABODA HAVIFUNGAMANI NA SIASA

Like
253
0
Wednesday, 26 August 2015
Local News

UMOJA wa madereva wa bodaboda wilaya ya IIala (UMABWILA) wamesema kuwa vyama vya bodaboda havifungamani na siasa na kila mwanachama anahaki ya kupenda na kushabikia chama chochote cha siasa.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo Makamu mwenyekiti  wa Umoja huo, BASHIRU KASHAIJA amesema kuwa watashirikiana na chama ambacho kimesaidia kuwezesha bodaboda kuwa chombo rasmi cha usafirishaji.

Comments are closed.