UMOJA WA ULAYA NA UTURUKI KUKABILIANA NA ONGEZEKO LA WAHAMIAJI

UMOJA WA ULAYA NA UTURUKI KUKABILIANA NA ONGEZEKO LA WAHAMIAJI

Like
206
0
Friday, 16 October 2015
Global News

UMOJA wa Ulaya na Uturuki zimekubaliana kushirikiana pamoja kukabiliana na ongezeko la wahamiaji wanaoingia barani Ulaya.

 

Viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya na Uturuki walifanya mkutano wa kilele hapo jana mjini Brussels na kukubaliana kuwa na mpango wa pamoja wa kushughulikia mzozo huo licha ya kuwa bado baadhi ya masuala hayajafikiwa kikamilifu.

 

Uturuki kwa hivi sasa inawahifadhi zaidi ya wakimbizi milioni mbili wengi wao kutoka Syria na ni mojawapo ya kituo kinachotumika na wahamiaji kuingia barani Ulaya.

Comments are closed.