UMUHIMU WA KUWA NA MAKTABA ZA MARAIS WASTAAFU

UMUHIMU WA KUWA NA MAKTABA ZA MARAIS WASTAAFU

Like
346
0
Thursday, 08 January 2015
Local News

WAZIRI WA NCHI ofisi ya Rais Kazi Maalum,Profesa MARK MWANDYOSA amesema kuna umuhimu wa kuwa na Maktaba za marais wastaafu ili kuwa na hazina kwa taifa.

Profesa MWANDYOSA ameeleza kuwa kinachowatenganisha Waafrika na nchi zilizoendelea ni lugha ya Maandishi ambayo ni urithi kwa vizazi vijavyo kwa kutunza kumbukumbu za hekima,busara na harakati za ukombozi na mchango wa viongozi waliotangulia.

Comments are closed.