UN: 6000 WAPOTEZA MAISHA MASHARIKI MWA UKRAINE

UN: 6000 WAPOTEZA MAISHA MASHARIKI MWA UKRAINE

Like
283
0
Monday, 02 March 2015
Global News

UMOJA wa mataifa umesema kuwa takriban watu 6000 wameuawa mashariki mwa Ukraine, Kwenye ripoti yake ya hivi punde kuhusu mzozo unaoendelea mashariki mwa Ukraine.

Ofisi  ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa inasema kuwa mapigano ya hivi majuzi yamesababisa vifo vya mamia ya watu.

Ripoti hiyo inatoa picha kuhusu hali ilivyo mashariki mwa Ukraine ambapo mamia ya watu wameuawa kwa muda wa miezi miwili iliyopita na kufikisha idadi ya wau ambao wameuawa eneo hilo kuwa takriban watu 6,000.

 

 

Comments are closed.