UN KUCHUNGUZA MASHAMBULIZI YA KEMIKALI SYRIA

UN KUCHUNGUZA MASHAMBULIZI YA KEMIKALI SYRIA

Like
212
0
Friday, 28 August 2015
Global News

KATIBU MKUU wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba anapanga kuchunguza mashambulizi ya kemikali nchini Syria.

Ban Ki – Moon ameuelezea mpango wake wa kuwabaini wahusika wa mashambulizi hayo, katika barua yenye kurasa saba.

Hatua hiyo imetangazwa baada ya baraza hilo la usalama kuidhinisha azimio kuhusu Syria, mwanzoni mwa mwezi huu.

Comments are closed.