UN YAKEMEA MASHAMBULIZI DHIDI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

UN YAKEMEA MASHAMBULIZI DHIDI YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Like
245
0
Friday, 09 January 2015
Global News

Umoja wa Mataifa umekemea wimbi la mashambulizi dhidi ya Watu wenye ulemavu wa ngozi, Albino, baada ya tukio la kutekwa kwa mtoto wa miaka minne mjini Mwanza.

Mwakilishi wa UN nchini ALVARO RODRIGUEZ ameitaka Serikali ya Tanzania kuzidisha juhudi za kupambana na vitendo vya unyanyapaa dhidi ya albino.

Comments are closed.