UNAJUA KAMA KUPUMUA KWA NJIA YA MAKALIO “KUJAMBA” KUNA FAIDA KIAFYA?

UNAJUA KAMA KUPUMUA KWA NJIA YA MAKALIO “KUJAMBA” KUNA FAIDA KIAFYA?

Like
1401
0
Wednesday, 14 March 2018
Global News

Kutoka maktaba ya E-digital leo tuna Funny Facts Friday sasa wacha tuone ni kwa kiasi gani kuna faida kiafya kupumua au kutoa hewa chafu kwa njia ya makalio

Kupumua ni kazi muhimu na ya kawaida katika mwili wa binaadamu hasa katika kusaidia kumengenya chakula na kutoa gas isiyotumika tena tumboni.

Binaadamu wa kawaida anatoa upepo mara 14 kwa siku kiasi unaweza kujaza upepo kwenye puto kubwa la size ya kati

Utafiti unathibitisha kuwa kuvuta harufu mtu aliyepumua husaidia kuzuia viharusi, ugonjwa wa akili, kansa, na mashambulizi ya moyo.

Kwa muda wa saa tatu baada ya kifo mwili wa binaadamu huendelea kupumua kwa njia ya makalio

Nchini china mtu anaweza kuwa milionea kwa kutengeneza hadi dola 50 elf ambayo ni sawa na zaidi yashilingi milioini 100 za Tanzania kwa kuvuta harufu ya aliyepumua ili kubaini maradhi mbali mbali ya tumbo

IMEANDALIWA NA  SNAHLICIOUS

Comments are closed.