UOKOAJI WA WATU KWENYE FERI ILIYOWAKA MOTO BADO UNAENDELEA

UOKOAJI WA WATU KWENYE FERI ILIYOWAKA MOTO BADO UNAENDELEA

Like
292
0
Tuesday, 30 December 2014
Global News

OPERESHENI ya kuwaokoa watu waliopo ndani ya Feri iliyowaka moto kwenye Bahari ya Adriatiki zinaendelea.

Watu 10 wamekufa katika ajali hiyo na wengine kadhaa wanahofiwa kupotea.

Feri hiyo ilikuwa na abiria 478 pamoja na wafanyakazi huku Watu 41 hawajulikani walipo na maafisa wa Italia na Ugiriki wanajaribu kuthibitisha jumla ya watu waliokuwemo ndani.

Comments are closed.