UPEPO MKALI NA MAWIMBI VYAKWAMISHA JUHUDI ZA UOKOAJI MELI ILIYOZAMA

UPEPO MKALI NA MAWIMBI VYAKWAMISHA JUHUDI ZA UOKOAJI MELI ILIYOZAMA

Like
310
0
Monday, 29 December 2014
Global News

IMEELEZWA KUWA Waokoaji wameendelea kupambana na upepo mkali pamoja na mawimbi ya bahari gizani kuwakoa abiria 300 ambao wamekwama ndani ya Ferry ya Italia iliyokuwa imeshika moto kwenye Bahari ya Adriatic.

Maofisa nchini Italia  meeleza kuwa oparesheni ya uokoaji itandelea ambapo mpaka sasa watu 190 wamekolewa kutoka kwenye Ferry hiyo.

Comments are closed.