UPINZANI WAELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI CROATIA

UPINZANI WAELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI CROATIA

Like
263
0
Monday, 09 November 2015
Global News

CHAMA cha upinzani nchini Croatia kinaelekea kupata ushindi kwenye uchaguzi wa ubunge uliofanyika Jumapili ya wiki iliyopita ingawa bado hakijapata viti vya kutosha kuunda serikali.

Matokeo ya awali yanaonyesha chama hicho cha -HDZ-kitapata viti 60, huku muungano unaotawala wa Social Democrats wa waziri mkuu anayeondoka Zoran Milanovic ukipata viti 50.

Hata hivyo Chama hicho cha wahafidhina sasa kinatarajiwa kuanza mazungumzo ya kuunda muungano.

Comments are closed.