UPINZANI WASHINDA UCHAGUZI VENEZUELA

UPINZANI WASHINDA UCHAGUZI VENEZUELA

Like
225
0
Monday, 07 December 2015
Global News

CHAMA cha upinzani nchini Venezuela kimeshinda wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu chama cha kisoshiolisti kiingie madarakani 1999 chini ya uongozi wa rais wa zamani Hugo Chavez .

Rais wa baraza kuu la chaguzi Tibisay Lucena, amesema kuwa upinzani umeshinda takriban viti 99 kati ya viti 167.

Comments are closed.