URUSI NA MAREKANI ZATAKIWA KUIMARISHA USITISHAJI TETE WA MAPIGANO SYRIA

URUSI NA MAREKANI ZATAKIWA KUIMARISHA USITISHAJI TETE WA MAPIGANO SYRIA

Like
304
0
Thursday, 28 April 2016
Global News

MJUMBE  wa  Umoja wa  Mataifa  nchini  Syria  Staffan de Mistura  amezitaka  Urusi  na  Marekani  kuimarisha usitishaji tete wa  mapigano  nchini  Syria  kabla  ya mazungumzo  ya  amani  yenye lengo  la  kumaliza  miaka 5 ya mzozo  nchini  humo.

 

Kauli hiyo ya  de Mistura  inakuja  muda  mfupi baada  ya kulifahamisha  baraza  la  Usalama  la  Umoja  wa  Mataifa juu  ya  mazungumzo  ya  amani, ambayo amesema yamepiga  hatua  licha  ya  vikwazo  vya  hivi  karibuni.

Comments are closed.