URUSI YAANZA MAZOEZI MAKALI YA KIJESHI

URUSI YAANZA MAZOEZI MAKALI YA KIJESHI

Like
358
0
Tuesday, 26 May 2015
Global News

URUSI imeanza mazoezi makali ya kivita yanayojumuisha kikosi cha anga cha wanajeshi 150 pamoja na kikosi cha mashambulio ya mbali ya makombora.

Wizara ya mambo ya ndani ya Urusi inasema kuwa wanajeshi elfu kumi na mbili wanatarajiwa kuhusishwa na mazoezi hayo makali ya siku nne yanayolenga kutaka kujua uimara wa jeshi hilo na utayari wake.

Hata hivyo tukio hili la mazoezi ya majeshi hayo yanalenga nchi za magharibi kufuatia machafuko yanayoendelea Ukraine ambapo Urusi imekuwa ikinyooshewa kidole kutokana na machafuko hayo.

Comments are closed.