US OPEN: SERENA AMBWAGA DADA YAKE

US OPEN: SERENA AMBWAGA DADA YAKE

Like
240
0
Wednesday, 09 September 2015
Slider

Serena williams amemshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele katika ushindi mara mbili wa kalenda ya kwanza ya Grand Slam.

Serena ambaye ni nambari moja duniani amshinda dada yake kwa seti tatu ya 6-2 1-6 6-3 zilizompa upenyo wa kuweza kuingia kwenye mashindano ya nusu fainali huko New York,Marekani.

Katika hatua ya nusu fainali,serena atachuana na mwanadada wa nchini Italia Roberta Vinci siku ya alhamisi wiki hii.

Comments are closed.