USHIRIKIANO KATIKA NYANJA ZA UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO KUKUZA UHUSIANO KATI YA ZANZIBAR NA MALAWI

USHIRIKIANO KATIKA NYANJA ZA UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO KUKUZA UHUSIANO KATI YA ZANZIBAR NA MALAWI

Like
468
0
Wednesday, 27 May 2015
Local News

WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar  Said Ali Mbaruok  amesema ushirikiano katika Nyanja za utalii,utamaduni na michezo ndio njia pekee ya kukuza uhusiano uliopo kati ya Nchi ya Zanzibar na Malawi.

Ameyasema hayo wakati alipokutana na Balozi mpya wa Malawi Nchini Tanzania  Hawa Ndilowe alipofika ofisini hapo kwa kujitambulisha kwa waziri huyo.

Amesema ushirikiano huo utafanya mataifa yao kutembeleana katika Nyanja hizo na kubadilisha mawazo

DSC_0469

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katikati akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Malawi Hawa O.Ndilowe kulia yake na baadhi ya viongozi waliofika Ofisini kwake Zanzibar.

Comments are closed.