UTAFITI: KATI YA WATOTO 200 ASILIMIA SITA WANAVUTA TUMBAKU

UTAFITI: KATI YA WATOTO 200 ASILIMIA SITA WANAVUTA TUMBAKU

Like
307
0
Tuesday, 17 November 2015
Local News

UTAFITI uliofanywa na Chama cha Afya ya jamii (TPHA) unaonesha kwamba kati ya watoto 200 Asilimia sita ya watoto hao wanajihusisha na uvutaji wa Tumbaku.

Akazingumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam Mratibu kutoka chama cha Afya  ya jamii (TPHA), BERTHA MAEGA amesema kuwa utafiti huo umehusisha watoto wa shule ya msingi kuanzia darasa la nne hadi la sita huku wengi wao wakikiri kushawishiwa na wazazi na marafiki.

BERTHA amesema kuwa ili kuweza kudhibiti tatizo hilo kuna umuhimu wa kuwepo mitaala katika shule za msingi ili kutambua madhara yanayompata mtu anayetumia Tumbaku.

Comments are closed.