WANASAYANSI mjini London wamegundua utafiti mpya wa kuwezesha kuchunguza utaratibu wa jinsi mtu anavyozeeka kwa kutumia tabia ya zaidi ya mamia ya vinasaba vya damu, ubongo na seli za misuli.
Wanasayansi hao wameambatanaisha matokeo ya watu wenye afya nzuri wenye umri wa miaka 63 na zile za vijana kutengeneza mpagilio wa kufuatilia ili kuweza kuzeeka kwa Afya zaidi.
Aidha wamegundua katika baadhi ya kesi zinazohusu watu kuzeeka kwa zaidi ya miaka 15 na umri wao halisi kwani utafiti huo utasaidia kugundua watu walio kwenye hatari ya kupata magonjwa.