UTAFITI WA SARATANI YA MATITI WAKAMILIKA

UTAFITI WA SARATANI YA MATITI WAKAMILIKA

Like
276
0
Tuesday, 03 May 2016
Global News

TIMU ya kimataifa ya wanasayansi imekamilisha utafiti mkubwa zaidi kuwahi kutokea wa maumbile ya saratani ya matiti, ambayo wamesema inawapa karibu picha kamili ya nini husababisha ugonjwa huo.

Wanasayansi hao wanajaribu kutizama mfuatano wa jinomu kamili wa kesi zaidi ya mia tano za saratani ya matiti.

Utafiti huo unaoongozwa na taasisi ya Cambridge umeweza kugundua aina tano mpya za visababishi vya ugonjwa huo ambavyo vikibadilika husababisha uvimbe katika sehemu husika ya mwili wa binadamu.

Comments are closed.