UZINDUZI WA KIPINDI CHA UHONDO TRAVELLTINE MAGOMENI

UZINDUZI WA KIPINDI CHA UHONDO TRAVELLTINE MAGOMENI

Like
1120
0
Monday, 07 December 2015
Entertanment

1

 

Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo Dinna Marios akiwa na wafanyakazi wenzake wa EFM akiitambulisha kanga ya “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE” pale Traventine Hotel siku ya uzinduzi wa kipindi cha Uhondo.

2

 

Vazi la kanga lina heshima yake , baadhi ya wafanyakazi wa EFM na mashabiki wakiwa katika mishono tofauti ya kanga ya uhondo.

3

 

 

4

 

Kundi la Jahazi Modern Taarabu wakitumbuiza usiku wa tarehe 5-12 katika uzinduzi wa Uhondo.

“MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE”.

5

 

Tajiri wa mahaba, Kassim Mganga akikonga nyoyo za mashabiki  katika ukumbi wa Traventine Magomeni siku ya uzinduzi wa kipindi cha uhondo na kanga yake mpya ya “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE”.

 

Comments are closed.