VATCAN YATHIBITISHA MOTHER TERESA KUWA MTAKATIFU

VATCAN YATHIBITISHA MOTHER TERESA KUWA MTAKATIFU

Like
309
0
Friday, 18 December 2015
Global News

MAKAO MAKUU ya Vatican yemedhibitisha kwamba mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel na mtawa Marehemu ‘Mother Teresa’ atatangazwa mtakatifu.

Taarifa ya Vatican inasema Papa Francis ameridhia utaratibu wa kumtangaza mtakatifu mtawa huyo baada ya kutambua muujiza wa pili uliohusishwa naye.

Muujiza huo alipokea mwanamme raia wa Brazil ambaye alipona saratani kwenye ubongo wake.

 

Comments are closed.