VETA YAINGIA KUMI BORA YA TAASISI ZINAZOTOA MAFUNZO YA UFUNDI STADI AFRIKA

VETA YAINGIA KUMI BORA YA TAASISI ZINAZOTOA MAFUNZO YA UFUNDI STADI AFRIKA

Like
264
0
Wednesday, 21 October 2015
Local News

CHUO cha elimu na mafunzo ya ufundi Stadi  (VETA) kimekuwa miongoni mwa taasisi kumi bora za  Afrika katika utoaji wa mafunzo ya ufundi stadi.

 

Afisa habari wa  Chuo hicho,  DORA TESHA amekiambia kituo hiki kuwa, tuzo hizo  ambazo zimeandaliwa na umoja wa Afrika  (AU) kwashirikiana na  mashirikia ya USAID  na   FHI 360  zilizoshirikisha  taasisi zaidi ya  arobaini kwa lengo la kutambua taasisi bora zinazotoa elimu ya  mafunzo ya ufundi stadi katika Afrika.

 

Amesema kuwa sababu ya kuanzishwa mchakato huo ni kutokana na kuonekana kwa elimu ya ufundi stadi kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi   yeyote hususani nchi za Afrika.

Comments are closed.