VIDEO: BAADA YA DIAMOND JAGUAR NAE AWEKA REKODI YAKE KENYA

VIDEO: BAADA YA DIAMOND JAGUAR NAE AWEKA REKODI YAKE KENYA

Like
453
0
Monday, 05 January 2015
Entertanment

Wiki kadhaa nyuma mkali kutoka Tanzania Diamond kutua Mombasa na msafara wa polisi, sasa Charles Njagua waweza kumuita Jaguar kama ilivyozoeleka kwenye tasnia ya muziki ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Kenye kutua katika pwani ya Mombasa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Moi akiwa na msafara mkubwa wa polisi.

Comments are closed.